สรุปเนื้อหาตอนนี้
Wikendi hii tunaangazia msimu wa saba wa tamasha la marafiki festival. Tamasha linalolenga kutangaza utamaduni wa Tanzania.
Wikendi hii tunaangazia msimu wa saba wa tamasha la marafiki festival. Tamasha linalolenga kutangaza utamaduni wa Tanzania.
ตอนต่าง ๆ
Tanzania: Tamasha la marafiki festival mwaka wa 2026
ฟังแล้วWikendi hii tunaangazia msimu wa saba wa tamasha la marafiki festival. Tamasha linalolenga kutangaza utamaduni wa Tanzania.
Tanzania: Tunaliangazia kundi la Lumumba Theatre
ฟังแล้วLumumba Theatre ni Kundi la Muziki wa Asili linalochanganya Midundo ya kisasa na ya zamani ili kupata Ladha Mpya, Tunaangazia kundi hilo katika makala ya n yumba ya Sanaa Juma hili.
Ushairi wa kisasa na Paul Mejooly
ฟังแล้วPaul Mejooly alianza kutunga Mashairi akiwa Shuleni sasa ni Biashara inayomuingizia kipato, Tumezungumza naye kwenye Makala ya Nyumba ya sanaa.
Zanzibar: Taarab asilia na Qudara Gwingwi
ฟังแล้วEgyptian Taarab hii Bendi ya Muziki wa taarab, mzizi wa muziki wa Taarab unaofahamika leo katika Mwambao wa Afrika Mashariki, hasa visiwani Zanzibar,katika Makala ya Nyumba ya Sanaa wiki hii utamsikia Qudra Gwingwi Muimbaji wa bendi hiyo.
Sanaa ya nyimbo za asili na kundi la hiari ya moyo
ฟังแล้วSanaa ya nyimbo za asili inaanzia mbali, tangu enzi za utawala wa kimila. Kutana na kundi la Hiari ya Moyo maarufu Mwanamile katika Makala ya Nyumba ya Sanaa.